MY WORD

Wanaongea mingi but mi naongea neno,

Sitaki kuwapinga unielewe ndio lengo,

Wanauliza ka natokea America,

Asking why wanadai ju nimeimarika,

Ki-line ni rhymes mi na spit,

Politician akiongea ni speech,

Ni marafiki but na hate ma snitch.

 

Wana deal feki ata ka origin ya so china,

Beef na wao sina,

Ni ukweli ndo nasema,

Nikistand out wanablack-out ka stima,

Polepole sio mwendo ka unadai kitu chapchap,

Ni tofauti na kuwa mpole,

Haifanani na kuwa tough tough,

Ka mapenzi ni pesa basi wengi wako bankrupt.

 

Na ka akili ni nywele,

Basi mi niko mbele,

Si unacheki zangu ni nyeupe,

Na si nimemshinda yule,

Wakidai wako upper kumber wako hapa na mi niko kule,

Mungu akiandika neno huezi futa ata kwa white out,

Si Obama ni mweusi na si aliingia white house,

Hata we unaweza kufanikiwa no doubt.

 

Ati pesa ni sabuni ya roho,

Nashangaa wakishazipata izo doo,

Hawasafishi izo roho zao chafu,

Hata ni heri wakasafishe mili zao bafu,

Na bado wanapiga mswaki wakitoa maneno machafu.

 

 

 

by Dennis Kazungu

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s